LAYIII
Jina langu ni Adam hamis gama...
Artist name nafahamika kwa jina la bongo flavor katika mahadhi ya afro pop and rap.
So beautiful ni nyimbo yangu ambayo nimeirealease officialy,ikiambatana na Video.
Video ikiwaimefanywa na director Deo Abel,huku audio ikiwa imefanywa na producer Da pro,chini ya studio za SB.music.
So beautiful inaelezea uzuri wa mwanamke katika nyimbo lakini nilivyokua nikipata idea ya wimbo huu nilikuwa nauzungumzia mziki,muda ambao nilikua nahustle kutoka kwenye mziki ambapo mpenzi Wangu alikua hahitaji kabisa nifanye mziki,so nikapata idea ya kumwambia kuwa yeye ni beautiful but muziki is so beautiful,ndio kupatikana nyimbo SO BEAUTIFUL.
Nawaomba mashabiki wa muziki afrika na dunia kutupa support artist tunaochipukia kwenye huu muziki.