Monday, 9 November 2015

DOWNLOAD VIDEO NA USKIE NYIMBO MPYA KUTOKA KWA ADAMORE

LAYIII
Jina langu ni Adam hamis gama... Artist name nafahamika kwa jina la bongo flavor katika mahadhi ya afro pop and rap. So beautiful ni nyimbo  yangu ambayo nimeirealease officialy,ikiambatana na Video. Video ikiwaimefanywa na director Deo Abel,huku audio ikiwa imefanywa na producer Da pro,chini ya studio za SB.music. So beautiful inaelezea uzuri wa mwanamke katika nyimbo lakini nilivyokua nikipata idea ya wimbo huu nilikuwa nauzungumzia mziki,muda ambao nilikua nahustle kutoka kwenye mziki ambapo mpenzi Wangu alikua hahitaji kabisa nifanye mziki,so nikapata idea ya kumwambia kuwa yeye ni beautiful but muziki is so beautiful,ndio kupatikana nyimbo SO BEAUTIFUL. Nawaomba mashabiki wa muziki afrika na dunia kutupa support artist tunaochipukia kwenye huu muziki.

Artist:Adamore, Song:So beautiful, Studio:SB music, Prod:Da pro. Intro; how wo wouwooh.... I go ba de name of adamore... how wo u wooow... Da pro on the beat.. Verse1:Ma baby mama njoo kwangu achana na mabishoo, Niko nawe long time na hivyo ndivyo ilivyo, Wanapotuona tunashine kwao ni tatizo, Hii ni true love am not for show ooh, Come to ma gettoooh, No body can stop us,you love me,I love you,no body is between us, (She is crazy) Ananipenda me,nami nampenda ye;(nampenda ye). Chorus:She is so beautiful girl ×4, Acha nimpende me, Nimpende me ×3 Acha nimpende ye, Nimpende ye ×3. Verse2: Our love is like bread and butter,(bread and butter) Wanakutaka wanasafa,(wanasafa) Wametokota wamechacha, Hawajui pa kutokea wanatapatapa. *unaposmile mimi hoi tu,taabani kabisa, *brother man macho juu juu,ila kwangu we umefika, *vile nadata,umenikamata,baby I love you(mhh...kweli) Aaah.....I love you. Bridge:Ntakua nawe mileleeeeeh ×2 Bas tupendane tupendane ×2 Baby tupendane. Chorace:She is so beautiful girl ×4 Acha nimpende me, Nimpende me ×3 Acha nimpende ye, Nimpende ye ×3. Verse3:Let's take a selfie tutupie instagram,(instagram) Tumake headline dar es salaam, Uko natural hauitaji 360,lips zako ziko wet hauitaji lipstick(lipstick) *baby please heal ma heart,i want to be eeh,more than shining starrr, Deliver mee, *baby please heal ma heart,i want to be eeh,more than shining starrr, Come resque me eeh, Me eeh ×3 Come resque meeeh. Chorace:she is so beautiful girl ×4 Acha nimpende me, Nimpende me ×3 A cha nmpende ye, Nimpende ye ×3. Bridge:Ntakuwa nawe mileleeh ×2 *Bas tupendane Tupendane ×2 . Baby tupendandane * Ntakuwa nawe mileleeh ×2 Acha nimpende me, Nimpende me ×3 Acha nimpende ye, Nimpende ye ×3. Outro:I GO BA DE NAME OF ADAMORE.

No comments:

Post a Comment

advertise here