LAYII
kuona baadhi ya crip zavideo yake unaweza kubonyeza picha yoyote hapo kisha subscribe youtube ili niwe nakupa update mpya
kuona baadhi ya crip zavideo yake unaweza kubonyeza picha yoyote hapo kisha subscribe youtube ili niwe nakupa update mpya
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo usiku wa November 9 alifanya uzinduzi rasmi wa movie yake ambayo anataja kuiandaa kwa ajili ya mashabiki wake, Ronaldo kafanya uzinduzi movie yake inayoitwa ‘Ronaldo’ akiwa pamoja na mama yake na mtoto wake Cristiano Ronaldo Junior.
Uzinduzi huo uliyofanywa Leicester Square katika jiji la London Uingereza ulihudhuriwa na makocha wa zamani wa staa huyo ambao ni Sir Alex Ferguson, Jose Mourinho na Carlo Ancelotti sambamba na uwepo wa wakala wake Jorges Mendes na mastaa wengine wengi.
Chukua muda wako kidogo kuona video hii kisha subscribe ili niwe nakupa video mpya kila siku
Chukua muda wako kidogo kuona video hii kisha subscribe ili niwe nakupa video mpya kila siku
Movie hiyo ambayo imechezwa kwa zaidi ya
miezi 14 kwa asilimia kubwa inahusisha maisha halisi ya staa huyo
ambaye alianzia maisha yake soka katika klabu ya Sporting Lisbon ya kwa Ureno, Ronaldo amefanya uzinduzi huo sambamba na kufanya interview fupi katika red carpet.
Hii ni sehemu ya interview ya Ronaldo katika uzinduzi huo
“Wakati nilipowasiliana na watu
kutokaUniversal kuhusu movie walipanga kufanya movie hii kwa siku kama
tatu, ila najisikia vizuri kufanya kazi na director Anthony na Paul,
katika movie hiyo utapata nafasi ya kuona vitu vyangu vingi binafsi na
nimefurahia kufanya movie, nafikiria itakuwa na mrejesho mzuri kwangu
ila kwa watu wanaonifahamu hawatoshangazwa na hii, ila mimi nimefanya
kwa ajili ya mashabiki ambao wamekuwa na mimi katika shida na
raha”>>> Ronaldo
No comments:
Post a Comment