SUBSCRIBE HAPA
Dar es Salaam. Wanaume wanaoishi na virusi vya Ukimwi sasa huenda
wakapata suluhisho la kupata watoto na wenza wao ambao hawana virusi
hivyo, baada ya kuwapo tiba ya kusafisha mbegu za kiume zenye VVU hapa
nchini.
Tiba hiyo sasa inapatikana hapa nchini katika hospitali moja iliyo jijini Dar es Salaam, ambayo inatoa huduma za uzazi na upandikizaji wa mimba katika mirija ya uzazi kitaalamu inayojulikana, In Vitro Fertilization,(IVF).