LIKE PAGE YETU HAPA
BZ TV BONYEZA PICHA HII
Visa vingi vya saratani ya matati husababishwa na homoni za kike zinazofahamika kama 'Oestrogen' na dawa za kuzia homoni hizo hutumia sana.
Watafiti hao wanasema matokeo ya utafiti huo huenda yakabadili matibabu kwa mamilioni ya wanawake.
Watafiti hao pia wameonya kuwa dawa za kuzuia homoni hiyo zinaathari kubwa kama kuvunjika kwa mifupa na kukosa hamu ya kujamiana.
ULIPITWA NA KITUKO HIKI ONA HAA MTU WANGU
BZ TV BONYEZA PICHA HII
Utafiti mpya umebaini kuwa wanawake
ambao wamewahi kuugua saratani ya matiti huenda wakanufaika na
chembechembe zinazozuia ugonjwa huo kwa muda mrefu zaidi kuliko muda wa
sasa wa miaka mitano.
Utafiti huo uliofanywa na wanasayansi kutoka
Marekani na Canada umebaini kuwa kutumia dawa hizo kwa miaka kumi
badala ya mitano unapunguza uwezekano wa saratani hiyo kurejea kwa
theluthi moja.Visa vingi vya saratani ya matati husababishwa na homoni za kike zinazofahamika kama 'Oestrogen' na dawa za kuzia homoni hizo hutumia sana.
Watafiti hao wanasema matokeo ya utafiti huo huenda yakabadili matibabu kwa mamilioni ya wanawake.
Watafiti hao pia wameonya kuwa dawa za kuzuia homoni hiyo zinaathari kubwa kama kuvunjika kwa mifupa na kukosa hamu ya kujamiana.
ULIPITWA NA KITUKO HIKI ONA HAA MTU WANGU
No comments:
Post a Comment