Thursday, 25 June 2015

KAFULILA KAIBUA UFISADI MPYA BUNGENI

LAYIII
2014 itaendelea kukumbukwa kwenye ulimwengu wa Siasa Tanzania baada ya ishu ya ufisadi wa ESCROW kubeba headlines nyingi kutoka Bungeni Dodoma, na Mbunge ambaye ni kama alihusika kuianika ishu hiyo ni Mbunge kutoka Kigoma, David Kafulila.

David Kafulila kaibua mengine ya ufisadi Bungeni? Sikiliza mwongozo wake na majibu ya Spika na Waziri.. (Audio)

IMG-20150625-WA00162014 itaendelea kukumbukwa kwenye ulimwengu wa Siasa Tanzania baada ya ishu ya ufisadi wa ESCROW kubeba headlines nyingi kutoka Bungeni Dodoma, na Mbunge ambaye ni kama alihusika kuianika ishu hiyo ni Mbunge kutoka Kigoma, David Kafulila.

KAMA HUKUMWONA BEKI TATU WA ALIKIBA AKICHEZA MWONE HAPA

LAYIII

NDANI YA MWEZI MTUKUFU MAKUBWA YATOKEA

LAYIII
 
ITALIA IMEINYUKA ENNGLANG NAYE SOUTHGATE KUENDELEA KUWA KOCHA WA ENGLAND

LAYIII
Timu ya England chini ya miaka 21 imekubali kichapo cha Mabao 3-1 kutoka kwa Italia katika michuano ya ulaya.
Italia walianza kuandika bao lao la kwanza dakika ya 25 ya mchezo, kwa bao la Andrea Belotti Kabla ya Marco Benassi kuongeza mengine mawili dakika ya 27 na 72.
Nathan Redmond akaifungia timu yake ya England bao la kufutia machozi baada ya kazi nzuri liliyofanya na kiungo Ruben Loftus-Cheek.
Katika mchezo mwingine wa michuano hii Ureno walikwenda sare ya kufungana bao 1-1 na sweden.
Kwa matokea haya Ureno na sweden wanasonga mbele kenye hatua ya Nusu fainali na kuungana na mataifa ya Ujeruman na Denmark.

kocha wa timu ya vijana ya England chini ya miaka 21 Gareth Southgate amesema anataka kuendelea kuwa kocha wa kikosi hicho.

ZILIZO TUFIKIA PUNDE MAKAMU WA RAIS BURUNDI KATOROKA

LAYIII
Makamu wa pili wa Rais wa Burundi Gervais Rufikiri amekimbia baada ya kuiambia runinga ya France24 kuwa muhula huo wa tatu unakiuka sheria na katiba ya taifa hilo.

Makamu wa rais Burundi atoroka

Moja kati ya makamu wa rais wa Burundi ametoroka nchini humo baada ya kutangaza kuwa anapinga hatua ya rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.

AFRIKA YA KUSINI MBIONI KUJITOA KATIKA ICC

UNGANA NA LAYIII
Afrika Kusini imesema kuwa huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC yenye makao yake makuu huko Hague Uholanzi kufuatia jaribio la kumkamata rais wa Sudan Omar al Bashir alipokuwa nchini humo majuzi.

Afrika Kusini huenda ikajiondoa kwenye ICC

Afrika Kusini imesema kuwa huenda ikajiondoa kutoka kwa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC yenye makao yake makuu huko Hague Uholanzi kufuatia jaribio la kumkamata rais wa Sudan Omar al Bashir alipokuwa nchini humo majuzi.

HABARI ZA HIVI PUNDE NI KWAMBA KARENZI KAREKE AMEACHILIWA KWA DHAMANA

LAYIII
Luteni jenerali Karenzi Karake ametakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku.
Luteni jenerali Karenzi Karake alikamatwa siku ya jumamosi katika uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha kukamatwa cha ulaya.

Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda anatarajiwa kufika mahakamani hivi leo
Kiongozi wa ujasusi wa Rwanda ameachiliwa kwa dhamana.
Luteni jenerali Karenzi Karake ametakiwa kufika kwenye kituo cha polisi kila siku.
Luteni jenerali Karenzi Karake alikamatwa siku ya jumamosi katika uwanja wa ndege wa Heathrow Jumamosi iliyopita chini ya kibali cha kukamatwa cha ulaya.

NIKO KENYA IJUE HABARI KUBWA LEO KATIKA VYOMBO VYA HABARI NCHINI KENYA

LAYIII
Chama cha TAC kimekubali ombi la walimu la kupunguza muda ambapo walimu wapya wametakiwa kuhudumia Kaskazini Mashariki mwa Kenya, ama sehemu nyingine yoyote yenye changamoto ambapo sheria za TAC zinahitaji mwalimu kuhudumu zaidi ya miaka mitano kabla ya kuomba uhamisho.

Nimekuwekea habari kubwa za leo kutoka radio Jambo Kenya

kenyaaa
Chama cha TAC kimekubali ombi la walimu la kupunguza muda ambapo walimu wapya wametakiwa kuhudumia Kaskazini Mashariki mwa Kenya, ama sehemu nyingine yoyote yenye changamoto ambapo sheria za TAC zinahitaji mwalimu kuhudumu zaidi ya miaka mitano kabla ya kuomba uhamisho.

KATIKA HEADLINE TENA NCHINI BURUNDI MAKAMU WA RAIS AHOFIA USALAMA WAKE

LAYIII
Makamu wa pili wa rais nchini Burundi, Gervais Ruyikiri ametangaza kuwa hatorurudi nchini kama usalama wake utakua haujalindwa ipasavyo. Akizungumza kwenye televisheni ya Ufaransa France 24, Gervais Rufyikiri, amesema ameamua kufanya hivyo akihofia usalama wake kutokana na jinsi hali invyoendelea nchini Burundi.

Burundi: makamu wa pili wa rais ahofia usalama wake 

Makamu wa pili wa rais wa Burundi, Gervais Rufyikiri, ambaye ametangaza kujiuzulu kwenye wadhifa wake.
Makamu wa pili wa rais wa Burundi, Gervais Rufyikiri, ambaye ametangaza kujiuzulu kwenye wadhifa wake.
AFP PHOTO / Fabrice Coffrini 

KATIKA DALADALA ALIKIBA AKUMBANA NA KIZANGA CHA DIAMOND PLATNUMZ

LAYIII
Mwimbaji wa bongofleva Ali Kiba aliamua kufanya ziara ya ghafla na kuanza kupanda Mabasi (Daladala) za ndani ya Dar es salaam June 23 2015 ikiwa ni ziara ya kuwashukuru mashabiki kwa kumpa ushindi wa tuzo 6 za KTMA na moja ya Tuzo za Watu 2015.

Video ikimuonyesha Ali Kiba alivyopanda daladala na kuulizwa maswali likiwemo la yeye na Diamond.

Ali Kiba 1 

JJMwimbaji wa bongofleva Ali Kiba aliamua kufanya ziara ya ghafla na kuanza kupanda Mabasi (Daladala) za ndani ya Dar es salaam June 23 2015 ikiwa ni ziara ya kuwashukuru mashabiki kwa kumpa ushindi wa tuzo 6 za KTMA na moja ya Tuzo za Watu 2015

BURUNDI KIMENUKA TENA

LAYIII
Wakati kukiwa na sintofahamu kuhusu hatma ya uchaguzi mkuu wa Burundi unaotarajia kufanyika mwezi ujao kutokana na vurugu za kisiasa zinazoendelea kupinga kugombea tena kwa Rais Pierre Nkurunziza..headlines zimerudi tena nchini humo.

Burundi tena kwenye headlines…inahusu kutoroka kwa makamu wa Rais!! kisa kiko hapa

vice
Wakati kukiwa na sintofahamu kuhusu hatma ya uchaguzi mkuu wa Burundi unaotarajia kufanyika mwezi ujao kutokana na vurugu za kisiasa zinazoendelea kupinga kugombea tena kwa Rais Pierre Nkurunziza..headlines zimerudi tena nchini humo.

KAMA UNAAMINI MIPIRA INAZUIA ZINAA KAZI KWAKO UMELETEWA MIPYA CHEKI HAPA

LAYIII

Wanafunzi katika shule ya Isaac Newton Academy iliyoko Ilford, Uingereza wamezindua mipira ya kiume ‘kondomu’ yenye uwezo wa kugundua maradhi ya zinaa wakati watumiaji wanapokutana kimwili.

Ubunifu mwingine ni huu wa mipira ya kiume inayotambua magonjwa…

mipiraa
Wanafunzi katika shule ya Isaac Newton Academy iliyoko Ilford, Uingereza wamezindua mipira ya kiume ‘kondomu’ yenye uwezo wa kugundua maradhi ya zinaa wakati watumiaji wanapokutana kimwili.

MTOTO AUWAWA KIKATILI JIJINI DAR

LAYIII
TANZANIA DAIMA
Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka mitano hadi sita ameuwa kikatili jijini Dar es salaam baada ya kubakwa na kasha kunyongwa shingo huku akidaiw akunyofolewa sehemu za siri.
Mwili wa mototo huyo unadaiwa kutelekezwa katika moja ya nyumba iliyokuwa haijaisha na kugunduliwa na kijana aliyekuwa akiokota chupa tupu za maji eneo la tabata kisiwani, Dar es salaam.

Mtoto auawa kikatili Dar, waandikishaji BVR wafungiwa kituoni na Raia wa Kuwait akamatwa JNIA na kobe hai 173…#MAGAZETINI JUNE25

HEAD

TANZANIA DAIMA
Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka mitano hadi sita ameuwa kikatili jijini Dar es salaam baada ya kubakwa na kasha kunyongwa shingo huku akidaiw akunyofolewa sehemu za siri.
Mwili wa mototo huyo unadaiwa kutelekezwa katika moja ya nyumba iliyokuwa haijaisha na kugunduliwa na kijana aliyekuwa akiokota chupa tupu za maji eneo la tabata kisiwani, Dar es salaam.

SIASA TANZANIA YAINGILIWA NA WASANII BAADA YA WEMA SEPETU SASA NI MPOKI WA COMEDY

LAYIII
2015 ndio mwaka ambao wasanii wengi zaidi wameingia kwenye headlines za kutangaza Ubunge, Mpoki nae kaamua kuungana na list ya mastaa hao?

Mpoki naye kwenye Ubunge Kilombero? Yasikie majibu yake kwa Soudy Brown…#Uheard (Audio)

Mpoki TT
2015 ndio mwaka ambao wasanii wengi zaidi wameingia kwenye headlines za kutangaza Ubunge, Mpoki nae kaamua kuungana na list ya mastaa hao?

baada ya mbrazil kusajiliwa liverpool sasa ni zamu ya mwingereza

layiii
Baada ya kufanikiwa kufanikisha usajili wa Danny Ings kutoka Burnley na Roberto Firmino kutoka Hoffenheim ya Ujerumani, klabu ya Liverpool sasa inatarajia kukamilisha usajili mchezaji mwingine ndaninya saa chache zijazo.

Baada ya Mbrazil Firmino, Liverpool sasa kumsajili beki huyu wa kiingereza

  Baada ya kufanikiwa kufanikisha usajili wa Danny Ings kutoka Burnley na Roberto Firmino kutoka Hoffenheim ya Ujerumani, klabu ya Liverpool sasa inatarajia kukamilisha usajili mchezaji mwingine

LOL LINA NDANI YA STUDIO ZA MILLARDAYO... IJUE BIFU YAKE NA WEMA HAPA

Linah 3Linah ni mwimbaji wa bongofleva ambapo hivi karibuni mpaka Mama yake mzazi alimpigia simu kutaka ajiepushe kugombana na watu baada ya kusikia stori kwamba anagombea Mwanaume na Wema Sepetu.Ilimfanya mama afikie hatua hiyo baada ya kusikia tu stori za watu na baadhi ya mitandao na gazeti lililoandika hiyo habari lakini ukweli wenyewe kutoka kwa Linah uko kwenye hii video ya Interview aliyofanyiwa TZA kwenye studio ya Millard Ayo.

EBANA EEE LEO NAONA NISHARE PICHA ZA ENZI HIZO ZA WATU MAARUFU HAPA NCHINI

LAYIII
 Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita.

TBT: Picha 5 za zamani za Jokate, Wema Sepetu na ya Q Chief na Diamond, Millard Ayo na JK na Lowassa

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5VJbwZmzkGWJAYZBBBWHvfmSmwVWujKEc77mV8QvSNn0IMwI5QnN6NM6lHvzO-i0uE7LMrIlS9zKcYSHq6rw0ZAjyW1UhJurk7uW_CMk8P7ZnbuIENcPAXOhnJG72sTSftFOiUoeQ488/s1600/6B.jpg 

http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/06/Barrack-Obama2.jpg?resize=537%2C300

advertise here