LAYIII
2015 ndio mwaka ambao wasanii wengi zaidi wameingia kwenye headlines za kutangaza Ubunge, Mpoki nae kaamua kuungana na list ya mastaa hao?

Mpoki naye kwenye Ubunge Kilombero? Yasikie majibu yake kwa Soudy Brown…#Uheard (Audio)
2015 ndio mwaka ambao wasanii wengi zaidi wameingia kwenye headlines za kutangaza Ubunge, Mpoki nae kaamua kuungana na list ya mastaa hao?
Tetesi zikamfikia Soudy Brown kwamba
jamaa nae kaamua kuingia kwenye mchakato huo kimyakimya… Soudy akamcheki
jamaa, majibu yake ni kwamba hajatangaza na wala hana mpango huo, kwa
sasa ni yeye na shughuli yake ya usanii wa kuchekesha.
No comments:
Post a Comment