LAYIII
CCM imepanga kuanzia mwezi huu hadi
Julai 2 kuwa ni muda wa makada wake kuchukua na kurudisha fomu kabla ya
vikao vya juu vya chama hicho kukutana kuanzia Julai 12 kuchuja wagombea na baadaye kumpata mmoja atakayesimama kwenye Uchaguzi Mkuu kupambana na wa vyama vingine.
Baada ya makada wa CCM
kutangaza nia na hatimaye kuchukua fomu za kugombea urais ikiwa imefikia
idadi ya makada 34 wameshachukua fomu, sasa leo june 15 waziri wa
katibu na sheria Dkt. Asha Migiro amekuwa mwanamke wa nne kutoka kwenye chama hicho kuchukua fomu ya kugombea za ridhaa.
Akizungumza kupitia TBC1 alisema ‘Kwanza
nakishukuru chama cha mapinduzi kwa kuweka mazingira ya kutufanya wengi
tujitokeze mara baada ya kufungua pazia la kusaka wale ambao watapata
ridhaa ya chama cha Mapinduzi...”
No comments:
Post a Comment