LAYIIII
#Breaking: Mwimbaji Ben Pol anusurika kwenye ajali ya boti iliyozama.
Mwimbaji Ben Pol staa wa hit single ya ‘Sophia’ amenusurika kifo baada ya boti waliyokua wakisafiria na wenzake kuzimika katikati ya safari. Baada ya kunusurika na baadae kuokolewa, Ben aliandika maneno yafuatayo kwa herufi kubwa >>> ‘MUNGU MKUBWA NA NINAMSHUKURU SANA KWA KUNIPA NAFASI NYINGINE YA KUISHI DUNIANI,
Mwimbaji
Ben Pol staa wa hit single ya ‘Sophia’ amenusurika kifo baada ya boti
waliyokua wakisafiria na wenzake kuzimika katikati ya safari.
Baada ya kunusurika na baadae kuokolewa, Ben aliandika maneno yafuatayo kwa herufi kubwa >>> ‘MUNGU MKUBWA NA NINAMSHUKURU SANA KWA KUNIPA NAFASI NYINGINE YA KUISHI DUNIANI, We
had a very bad experience today, Tumekaa ndani ya maji kwa zaidi ya
lisaa, in the middle of nowhere, baada ya boat tuliyopanda kuingia maji
na engine kuzimika, maji yalizidi kujaa , Boat ikazama‘
‘Cha
kushukuru mungu wengi tulivaa life jackets, na baada ya kukaa majini kwa
zaidi ya lisaa ilipita boat ya Wavuvi Wakatuona, Ila kati ya wote
tuliyokuwepo kuna mtu mmoja hatujui alipo, na hakuwepo kati ya watu
tuliyookolewa, Hawa unaowaona hapa ndio tuliopona, Wanawake watatu, watoto hao walikuwa watatu, wanaume tulikuwa nane, lakini mmoja ndiye hatujui alipo’
millardayo.com inaendelea kumtafuta Ben kwa ajili ya kujua taarifa zaidi kwenye ajali waliyoipata
No comments:
Post a Comment