Tuesday, 16 June 2015

GOOD NEWZ SHILOLE ATOA VIDEO YA MALELE

Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama video hii mpya ya mwimbaji Shilole iitwayo ‘Malele’ iliyotayarishwa na director Khalfani, 

Good news ni kwamba video ya ‘malele’ ya Shilole ndio hii imetoka.

Shilole 2
Dakika zako 3 unaweza kuzitumia kutazama video hii mpya ya mwimbaji Shilole iitwayo ‘Malele’ iliyotayarishwa na director Khalfani, ukishaitazama usiache kuniachia comment yako mtu wangu ili Shilole akipita baadae ajue watu wake wanasemaje. WAWEZA INGIA YOUTUBE KUICHEKI







 


No comments:

Post a Comment

advertise here