Msanii Vincent Kigosi ‘Ray’ amekiri kwamba kufariki kwa Steven
Kanumba kumemsababishia kuporomoka kisanaa na kiuchumi kwa kukosa
ushindani thabiti kwenye game.
Imelda Mtema MPENZI
wa staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel, Moses Iyobo ambaye pia ni
dansa mahiri wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’
amefunguka kuwa hakwenda kwenye