Friday, 22 May 2015

KIDOA NAYE JAMANI ETI MASOGANGE NI CHA MTOTO DUUU JAMANII----

LAYIII
Mayasa Mariwata
VIDEO Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye
Agnes Gerald ‘Masogange,’ akimponda kuwa kalio lake siyo orijino kwani wakati mwingine hulijaladia.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Kidoa alisema amekuwa akimshangaa mrembo  huyo kwa kujianika mtandaoni akionekana ana kalio kubwa kumbe siyo orijino.
“Masogange cha mtoto kwangu, ni kweli kalio analo lakini siyo kubwa kama linavyoonekana kwenye picha anazopiga. Nasikia huwa anajaladia kwa kuvaa taiti zenye masponji, sasa atashindana na mimi?” alihoji Kidoa.
 

No comments:

Post a Comment

advertise here