Wednesday, 24 June 2015

Ishu ya manesi na mjamzito Simiyu, msiba wa Mbunge.. Bajeti ya TZ 2015/16 >> Zote ziko hapa (Audio)

LAYIII
Magazeti ya leo June 24 2015 yamekupita mtu wangu? Hapa nimekurekodia stori zote za magazetini zilizosikika leo redioni @PowerBreakfast hizi nimezirekodi na kukuwekea hapa.

606x340_302989
Magazeti ya leo June 24 2015 yamekupita mtu wangu? Hapa nimekurekodia stori zote za magazetini zilizosikika leo redioni @PowerBreakfast hizi nimezirekodi na kukuwekea hapa.
Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 yapitishwa jana Bungeni ambapo Bunge lilikuwa na Wabunge 219, iko stori nyingine kutoka Geita ambako Mbunge Donald Max amefariki jana wakati akiwa Hospitali.
Makundi mbalimbali yamejitokeza kupinga Muswada wa habari wa mwaka 2015 stori nyingine inatoka Simiyu ambako wauguzi wa Zahanati ya wamedaiwa kumfukuza mama mjamzito aliyefika katika zahanati hiyo kujifungua… Stori zote ziko kwenye hii sauti hapa mtu wangu, ukiplay utazisikiliza zote.
 
No comments:

Post a Comment

advertise here