Thursday, 12 November 2015

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI IKULU NA RAIS MSTAAFU KIKWETE JANA

layiii
bonyeza picha itakupeleka moja kwa moja katika video ya makabidhiano huko ikulu
https://youtu.be/lBnsPvAdEWg
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika jana Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais.

MAREKANI YAMSHAMBULIA JIHADI JOHN

layiii


Image caption Marekani bado inachunguza kubaini iwapo ameuawa
Bonye za picha  kuona shambulio hilo
John 

Wanajeshi wa Marekani wametekeleza shambulio la kutoka angani lililomlenga mwanamgambo wa Islamic State kutoka Uingereza ajulikanaye kama "Jihadi John", Pentagon amesema.
Mohammed Emwazi, Mwingereza aliyezaliwa Kuwaiti, alilengwa kwenye shambulio hilo lililotekelezwa karibu na mji wa Raqqa, nchini Syria.

MWANAMKE AENDESHA BASKELI KWA KIDOLE CHA MGUU

LAYIII
Kama ni mpenzi wa video za ajabu ajabu basi video hii inakuhusu mwangalie mwanamke aliyeendesha baiskeli yake kwa kidole cha mguu wake bila kudondoka mtu wangu
kama unapendelea kucheka unaweza chukua muda wako pia kuche na hili hapa alilofanya huyu kaka la kujifanya kipofu

MBASHA LIVE NA KIFAA

LAYIII
https://www.youtube.com/channel/UCohoLl9DK4oepzW_GdEL5sARichard Bukos
CHA KUFIA! Msanii wa muziki wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha, Alhamisi iliyopita alinaswa kwenye maongezi yaliyoambatana na pozi lenye maswali kwa kuonekana akichukua namba fastafasta kwa mrembo ‘kifaa’.

EDWARD LOWASSA JUKWAANI TENA ARUSHA AWATISHIA VIGOGO

LAYIII
Good Morning mtu wangu asubuhi yako inaendaje? Inawezekana uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita, pengine ulikuwa busy na hukuzipata zote kwenye kuperuzi na kudadis redioni ila nilizozirekodi zote ziko hapa.
Wajawazito wafichua madudu ya hospitali ya mkoa wa Arusha, Mt. Meru baada ya kukosa vipimo muhimu kama Ultra-sound na hivyo kulazimika kwenda hospitali binafsi ili kupata huduma hiyo, vita

advertise here