Thursday 12 November 2015

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI IKULU NA RAIS MSTAAFU KIKWETE JANA

layiii
bonyeza picha itakupeleka moja kwa moja katika video ya makabidhiano huko ikulu
https://youtu.be/lBnsPvAdEWg
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika jana Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais.
https://youtu.be/lBnsPvAdEWg Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipofika Ikulu jijini Dar es chukua muda wako kuiona video hii ya magufuli huachi kucheka jamaa yuko strong kinyama salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais. Rais.

https://youtu.be/lBnsPvAdEWg Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiongea kabla ya kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 12, 2015

Rais Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 12, 2015
https://youtu.be/lBnsPvAdEWg Rais Dkt John Pombe Magufuli akiiangalia kwa furaha hati ya makabadhiano ya Ofisi aliyoipokea kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 12, 2015
https://youtu.be/lBnsPvAdEWg Rais Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu Kiongozi baada ya hafla ya makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Novemba 12, 2015
https://youtu.be/lBnsPvAdEWg Rais Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya hafla ya makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi Novemba 12, 2015.

No comments:

Post a Comment

advertise here