Friday 13 November 2015

UKIJIBIWA MAJIBU HAYA NA MPENZI WAKO UJUE IMEKULA KWAKO BONYEZAA PICHA KUISOMA STORI HIYO NA KUONA VIDEO YAKE

LAYIII

Hivi Unamchukuliaje Mpenzi Wako Mwenye Majibu Kama Haya Ukichat Nae
BONYEZA PICHA HIII KUONA VIDEO YA NDOA YA AJABU 
https://www.youtube.com/watch?v=w8bqlYRkYP0
Eti ukiwa unachat mpenzi wako anakupa majibu kama haya unamchukuliajeee
mfano



1.ukimwambia kila ukimwambia bby i love you much au nakupenda sana mpenzi wangu
yeye hujibu asante au thanks badala ya kusema i love you too mpenzi wangu

2.ukimtumia vocha hukaa kimya ukimpigia hujibu asante nimeipataa.

3.ukimwambia nimekumic mpenzi wangu hujibu asante au thanks au k thanks

4.ukimwambia kuhusu sex huandika k au sawa au bila kujibu

jee unamuongeleajee mpenzi kama huyu kwa wale wataalamu saikoloji

UNAWEZA PIA CHUKUA MUDA WAKO KUONA VIDEO HII YA AJABU

No comments:

Post a Comment

advertise here