Wednesday, 27 April 2016
SNURA WIMBO WA CHURA UMENIRUDISHA KIMUZIKI
LAYIII
Msanii wa muziki na filamu Snura Mushi,amedai kuwa wimbo wake wa chura ni chaguo la Watanzania hivyo anaamini kwamba utaweza kumuinua baada ya kukaa kwa muda kidogo.
Akizungumza Stura alisema kuwa pamoja na kukaa kimya lakini bado kibao hicho ambacho tayari kipo kwenye video kimeshika nafasi ya juu kiasa kwamba mashabiki wake wamekuwa wakimtumia maoni ya kumpongeza.

MR BLUE NA ALIKIBA MBIONI KUACHIA MZIGO MKUBWA
LAYIII
Nota wa Bongo Fleva, Herry Samir ‘Mr Blue’ ambaye hivi karibuni
aliuaga ukapera kwa kuamua kufunga pingu za maisha na mzazi mwenzake,
Wayda, amedai anatarajia kuachia wimbo mpya ambao amemshirikisha Ali
Kiba.
Mr Blue amedai kwamba wimbo huo utajulikana kwa jina la ‘Mboga Saba’
Akizungumza na MTANZANIA, Mr Blue alisema kuwa wimbo huo upo tayari na anatarajia kuuachia wiki

Subscribe to:
Posts (Atom)