LAYIII
Msanii wa muziki na filamu Snura Mushi,amedai kuwa wimbo wake wa chura ni chaguo la Watanzania hivyo anaamini kwamba utaweza kumuinua baada ya kukaa kwa muda kidogo.
Akizungumza Stura alisema kuwa pamoja na kukaa kimya lakini bado kibao hicho ambacho tayari kipo kwenye video kimeshika nafasi ya juu kiasa kwamba mashabiki wake wamekuwa wakimtumia maoni ya kumpongeza.
“Hakuna utata Chura amenirudisha kwenye nafasi kubwa ndani ya muziki wangu,lakini pia hata mashabiki wangu wana imani kwamba kibao hicho ni raidi ya kazi zing zote,Alisema Snura.
KUTANA NA VIDEO YA ADAMORE HAPA

No comments:
Post a Comment