MWANAMKE anayetambulika kwa jina la Asha Mandela anaongoza kwa kuwa na rasta ndefu zaidi duniani zenye urefu wa futi 55.
Mama huyo aishiye Atlanta mwenye umri wa miaka 47 anayeweka rekodi ya kuwa na rasta ndefu duniani ameweka wazi humchukua siku mbili kuosha pamoja na kuzikausha nywele zake.
Katika moja ya mahojiano aliyowahi kufanya mwanamke huyo ameeleza kuwa nywele zake zimekuwa ni sehemu ya maisha yake na hatoweza kuzikata kwani akifanya hivyo ni sawa na kujiuua.
Pamoja na kuonywa na madaktari kuwa urefu wa nywele zake unaweza kumsababishia tatizo la kupooza, Asha Mandela amesema hawezi kuzikata.
Bi. Mandela
Nywele zake ni ndefu kuliko bus(gari)
Mama huyo mwenye mtoto mmoja aishiye Atlanta, Georgia amesema: Nywele zangu zimekuwa sehemu yangu. Ni maisha yangu. Sitozikata kamwe. Kuzikata itakuwa ni kama kujiua. Itakuwa ni sawa na zombie.’
Mrs Mandela, 47, anashikilia Guinness World Record kwa kuwa na rasta ndefu zaidi duniani zenye urefu wa futi 55.
Humchukua siku mbili kuziosha na kuzikausha nywele zake. Mrs Mandela, ana mtoto mwenye miaka 11 aitwaye Zion aliyezaa na mume wake wa pili, anasema nywele zake zimesaidia uhusiano wake na mumewe.
Kwa sasa ameolewa na mume wa tatu na asili yake ni Trinidad and Tobago. Alianza kuzitunza nywele hizo miaka 25 iliyopita.
Mwanamke huyo ambaye anadaiwa kuonywa na madakati juu ya urefu wa nywele
zake unaweza kumsababishia tatizo la kupooza Asha amedai hawezi
kuzikata nywele hizo.