Bonyeza picha hi kuiona video usiache kulike share comment na subscribe mtu wangu
Wanasayansi wanasema huenda sumu hii ikatumika kutengeneza dawa ya uchungu. Baadhi ya wanyama ambao sumu yao imetumika kutengeneza dawa ni pamoja na konokono wa baharini na bui bui wa sumu.
Wanasayansi sasa wanataka joka huyu kuhifadhiwa hususan baada ya maeneo mengi anakopatikana kugeuzwa kuwa mashamba ya michikichi. Wanasayansi walifanya utafiti wao katika nchi za China, Singapore na Marekani.
Watafiti wanasema japo kwa mwanadamu nyoka huwa adui, lakini wakati huu huenda akawa suluhu la matatizo mengi ya kiafya.
KAMA WEWE NI MFATILIAJI WA GRAPHICS NA UNAPENDA KUFANYIWA KAZI NZURI BASI VIDEO HII INAKUHUSU LIKE SHARE COMMENT SUBSCRIBE YOUTUBE.COM/C/MSWAXKIM
Joka mwenye sumu kali zaidi duniani
huenda akawa jibu la kupatikana dawa ya kupunguza uchungu. Hii ni kwa
mujibu ya wanasayansi.
Joka anayejulikana kama 'Blue Coral' ndiye
mwenye sumu kali zaidi na hupatikana zaizi Kusini Mashariki mwa Bara
Asia. Utafiti mpya uliochapishwa kwenye jarida la afya la Toxin umepata
joka huyo huwalenga maadui wake ambao husababisha uchungu kwa binadamu. Wanasayansi wanasema huenda sumu hii ikatumika kutengeneza dawa ya uchungu. Baadhi ya wanyama ambao sumu yao imetumika kutengeneza dawa ni pamoja na konokono wa baharini na bui bui wa sumu.
Wanasayansi sasa wanataka joka huyu kuhifadhiwa hususan baada ya maeneo mengi anakopatikana kugeuzwa kuwa mashamba ya michikichi. Wanasayansi walifanya utafiti wao katika nchi za China, Singapore na Marekani.
Watafiti wanasema japo kwa mwanadamu nyoka huwa adui, lakini wakati huu huenda akawa suluhu la matatizo mengi ya kiafya.
KAMA WEWE NI MFATILIAJI WA GRAPHICS NA UNAPENDA KUFANYIWA KAZI NZURI BASI VIDEO HII INAKUHUSU LIKE SHARE COMMENT SUBSCRIBE YOUTUBE.COM/C/MSWAXKIM
No comments:
Post a Comment