Saturday, 13 June 2015
CHIBU VANESSA MDEE NDANI YA MTV 2015
NA LAYIII ON SPOT
DIAMOND, VANESSA MDEE WATAJWA TUZO ZA MTV 2015
ALI KIBA KUMFUNIKA DIAMOND ILE MBAYAAA KATIKA TUZO ZA KILI AWARD
NA LAYIII
2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015, ALI KIBA AIBUKA NA TUZO TANO, DIAMOND PLATINUMZ MBILI
Joh Makini akiwashukuru mashabiki wake (hawapo pichani) baada ya kuchukua Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka wa Hip Hop akiwa na Nikki wa Pili (kushoto).
MAJINA YA WASHINDI WA TUZO ZA KTMA 2015
1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA - YAMOTO BAND2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB - JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA - FM ACADEMIA
SNOOP DOG LAZIMA NIWE KING TWITTER
LAYIII ON SPOT
#ifSnoopWasTwitterCEO…
Kwenye headlines kubwa za siku ya leo ipo hii moja inayomhusu Mkurugenzi wa Twitter, Dick Costolo kutangaza kujiuzulu kama mkurugenzi wa Kampuni hiyo kutokana na malalamiko kwamba inajiendesha kihasara.
Headlines sasa hivi sio kuhusu Dick Costolo tena, ni Snoop Dogg.. Ishu unajua ni nini? Jamaa kasema eti yuko tayari kabisa kushika nafasi hiyo!!
Snoop Dog alichukua time na kuweka post kadhaa kwenye ukurasa wake @Twitter kwamba yuko tayari kabisa kuiongoza Kampuni hiyo ikiwa tu watampa nafasi.
Trend kwenye Twitter ikawa hivi>>> #BAADA YA TUZO ZA KTMA KUTOLEWA MABADILIKO BAB KUBWA YAMETOKEA
LAYIII ON SPOT
Leo June 12 2015 tunahesabu saa chache
tu kushuhudia Historia ikiandikwa kwenye Burudani ya Muziki TZ, Tuzo
kubwa za Muziki Tanzania, KTMA 2015 leo kuna kipya kilichotangazwa na
waandaaji wa Tuzo hizo.
“Kuna
mabadiliko machache tofauti na ilivyokuwa mwaka jana… tumebadilisha
mpangilio wa Venue ambao kwa mwonekano watu wote wataangalia
mbele… mbali na hayo baada ya Show tumeandaa sherehe ambayo
itawajumuisha watu wote kuburudika kwa pamoja tofauti na kipindi
kilichopita“>>> Pamela Kikuli
NABII KAAMINI AKIZIKWA MZIMA ATAFUFUKA KILICHOJILI DUUU KICHEKO SI KICHEKO ICHEKI HAPO
NA LAYIIII ON SPOT
Nimekutana na stori hii kutoka Zimbabwe inamhusu Nabii mmoja kutoka nchi hiyo kufariki akiwa kwenye mishemishe za kupata nguvu za ziada ili akemee mapepo.
Nabii huyo Shamiso Kanyama alifatwa
na familia moja wakamuomba aje nyumbani kwao ili afanye maombezi
kuondoa mapepo yaliyokuwepo kwenye nyumba ya wanafamilia hao.
Nabii huyo akaenda kufanya maombezi na
wanafamilia hao… Wakiwa katika maombezi hayo, nabii huyo alidai kuwa
roho mtakatifu amezugumza nae na kuwaomba wanafamilia hao kuchimba
kaburi nje ya nyumba ili wamzike akiwa hai, alafu akifufuka atakuwa na
nguvu mpya ya kuendelea na maombezi hayo.
Subscribe to:
Posts (Atom)