LIKE PAGE YETU FACEBOOK HAPA
Ili kutinga Fainali Serengeti Boys wanapaswa kuifunga Malaysia ambayo imetoka sare na India na kubondwa na South Korea 3-0.
Ikiwa Serengeti Boys wataifunga Malaysia basi njia yao itakuwa nyeupe ikiwa pia Jumamosi mechi kati ya Marekani na Korea Kusini itaisha kwa timu moja kushinda.
2016 AIFF Youth Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na shirikisho la soka la India, All India
Timu ya Taifa ya vijana wa Tanzania
wa chini ya miaka 17 Serengeti Boys siku ya Jumamosi itacheza na
Malaysia kwenye mechi yao ya mwisho ya kundi wakisaka ushindi ili
kutinga fainali ya 2016 AIFF Youth Cup huko Tilak Maidan Stadium, Vasco,
Goa nchini India.
Tanzania mpaka sasa imeshacheza mechi 3 na kuifunga India 3-1 na kutoka Sare na USA 1-1 na kisha South Korea 1-1.Ili kutinga Fainali Serengeti Boys wanapaswa kuifunga Malaysia ambayo imetoka sare na India na kubondwa na South Korea 3-0.