Timu ya Dar es Salaam Young Africans leo December 1 2016 imetangaza kumsajili kiungo raia wa Zambia Justine Zulu, kiungo huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili.
Yanga imemsajili Justine Zulu kutokea timu ya Zesco United ya Zambia, kwa taarifa hiyo sasa ni rasmi Justine Zulu ataungana na kocha wake wa zamani ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni