Friday, 22 April 2016

MTOTO MIAKA KUMI NA SITA AVUNJA RECORD KIKAO CHA UMOJA WA MATAIFA

LAYIII

Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa mwenye kujiamini na kutoonekana kuwa na hofu japo anaongea kwenye jukwaa ambalo linatazamwa na viongozi mbalimbali.

KUTANA NA MAGAZETI YA LEO TAREHE 23/4/2015

LAYIII


April 23 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @swaxbz ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

KUMBE KANYE WEST LAGHAI

LAYIII
BONYEZA HAPA KUJA BZTV BONYEZA PICHA KUJUA CHANZO

https://www.youtube.com/watch?v=g2KepoPu_C0
Shabiki mmoja ameamua kumshtaki nyota wa muziki wa Rap Kanye West pamoja na huduma ya muziki ya Tidal kuhusu kutolewa kwa albamu mpya ya mwanamuziki huyo,The life of Pablo.
Justin Baker-Rhett anadai alidanganywa kutia saini na kujiunga na huduma hiyo ya moja kwa moja,kwa kuwa ilikuwa njia ya pekee ya kununua albamu hiyo ya West.
Alisema kuwa alijiunga na Tidal baada ya mwanamuziki huyo kusema kuwa albamu yake haitauzwa mahali pengine.
Na sasa anasema kuwa hatua hiyo ni ya kilaghai na ililenga kuipatia Tidal mamilioni ya wateja.

MAREHEMU ATEULIWA KUSIMAMIA MECHI NIGERIA

LAYIII
BONYEZA HAPA KUJA BZTV
NFF
Mwanamume aliyefariki ameteuliwa kusimamia mechi ya soka nchini Nigeria ambayo itachezwa Jumapili, mwandishi wa BBC anayefuatilia masuala ya soka Oluwashina Okeleji anasema.
Wale Akinsanya aliteuliwa kuwa mwamuzi kwenye mechi baina ya Warri Wolves na Giwa FC katika mji wa Warri kusini mwa Nigeria, gazeti la Punch la Nigeria limeripoti.
Hii ni licha ya kwamba Akinsanya alifariki tarehe 22 Januari 2016 wakati wa kufanywa kwa mtihani wa

JINO KUBWA LA NYANGUMI LAPATIKANA AUSTRALIA

LAYIII
BONYEZA PICHA KUIONA VIDEO BOFYA HAPA
Jino
Jino kubwa la nyangumi limepatikana ufukweni Australia, na kuwa thibitisho la kwanza kwamba nyangumi wakubwa hatari sana waliishi mbali na Amerika.
Mkusanyaji wa visukuku Murray Orr alipata jino hilo lenye urefu wa sentimeta 30 (inchi 12) ufukweni Beaumaris Bay karibu na mji wa Melbourne mwezi Februari.
Alilikabidhi kwa makumbusho ya Victoria, ambayo yalianza kulionesha kwa umma Alhamisi.
Inakadiriwa kwamba nyangumi mwenye jino hilo aliishi zaidi ya miaka milioni tano iliyopita. Alitoka kwa aina

ALIKIBA AUMIZA VICHWA VYA WENGI CHANZO UKIMYA WAKE

LAYIII
Tupo kwenye ulimwengu ambao mitandao ya kijamii imegeuka kuwa kama chakula ambacho ni lazima ule kila siku. Kwa watu maarufu, mitandao imegeuka kuwa sehemu muhimu kwa wao kuwa karibu na mashabiki wao.
BONYEZA HAPA AU PICHA JIUNGE NA BZTV
12783250_858357070940801_1379955847_n
Mashabiki wanatarajia kuona kila hatua ambayo msanii anaipitia katika shughuli zake za kila siku. Wanataka kuona si tu picha zake akiwa studio akirekodi muziki au jukwaani akitumbuiza, bali pia za maisha binafsi kama vile akiwa na familia au washkaji.
Na kwa mashabiki, msanii wanayempenda akiwa kimya hata kwa siku moja tu, hukosa raha na kila wakati huchungulia kwenye akaunti yake kuangalia nini alichoweka. Kwao ni furaha kuona picha za staa huyo na pindi anapoamua kukaa kimya huwanyima kitu muhimu katika yao. Huo umekuwa ni kama ulevi na unaweza

KWA NINI MBIO ZA MWENGE SABABU HII HAPA

LAYIII
BONYEZA PICHA JIUNGE NA BZTV
https://www.youtube.com/watch?v=MFOTazWIOaA
NIKIWA binti mdogo wakati nasoma shule ya msingi miaka ya 1980, nilizoea kusikia na kuimba wimbo mmoja ambao niliupenda sana mpangilio wake wa ala za muziki, na sauti zilizokuwa zikisikika. Huu si wimbo mwingine, bali ni wimbo ambao ulihusu alama kubwa sana ya Taifa letu: Mwenge wa Uhuru.

NAY WA MITEGO SIWEMA MIAKA MIWILI JERA KWA KOSA LA KUTUKANA

LAYIII
BONYEZA PICHA HAPA NJOO JIUNGE NA BZTV
https://www.youtube.com/watch?v=MFOTazWIOaA
Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao.

Siwema alituhumiwa kumtukana matusi kwa njia ya mtandao mlalamikaji ambaye anafahamika kwa jina la Deo.
Akizunguza na kipindi cha Jahazi, kinachoruka kupitia Clouds FM, Nay Wamitego alisema ‘napambana kile

HISTORIA YA PESA ZA SARAFU TANZANIA

LAYIII
Kabla ya mwaka 1884, nchi yetu ilikuwa inatumia sarafu moja ya Riyal iliyokuwa imetolewa na Sultan wa Zanzibar chini ya Sultani wa Oman. Sarafu za Riyal zilikuwa kama ifuatavyo
Riyal




 Baada ya 1884, Zanzibar ilitumia sarafu za aina tatu kwa mpigo. Sarafu ya kwanza ilijulikana kama Maria Theresa Thaler iliyotolewa Italy, ilikuwa na sura ifuatayo.

FURSA 150 ZA BIASHARA NA MIRADI MBALIMBALI NCHINI TANZANIA

LAYIII
 
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali.
5.  Kuanzisha kituo cha redio na televisheni

SABABU SITA ZINAZOPELEKEA KUMPOTEZA MTEJA KATIKA BIASHARA YAKO

LAYIII

Muda mwingine unaweza ukajiuliza kwa nini mteja au wateja Fulani siku hizi huwaoni katika biashara yako, unaanza kumtafuta mchawi ni nani katika biashara yako kumbe mchawi ni wewe mwenyewe ambaye unaweza ukawavuta wateja wengi au mteja au ukaongeza mteja ,wateja katika biashara yako hii inatokana tu na jinsi gani unatoa huduma yako na kumhudumia mteja pia.
Leo tutaangalia ni sababu gani ambazo zinaweza kusababisha kumpoteza au kumkera mteja wako nazo ni;

MAAMUZI KAMA HAYA YATAKUFANYA UFANIKISHE NDOTO ZAKO

LAYIII

Habari za siku rafiki na mpenzi msomaji wa DIRA YA MAFANIKIO, bila shaka umzima wa afya na unaendelea vyema kujifunza ili kuboresha maisha yako. Leo katika makala yetu napenda kukushirikisha namna unavyoweza kuipata nguvu kubwa ya mafanikio utakayoweza kuitumia kuweza kutimiza malengo yako makubwa.

KWA TABIA HIZI MAFANIKIO KWAKO NI NDOTO

LAYIII

Hasira za mafanikio zinatofautiana baina ya mtu mmoja na mwingine. Kama kweli unahitaji mafanikio ya kweli ni lazima uwe na hasira ya njaa kama aliyonayo simba. Miongoni mwetu ni watu wachache sana wanatambua hasira hii ya mafanikio, wengi wetu huchukulia mafanikio kwa sura ya kawaida sana na mwisho wa siku tunaishia kuwa maskini.

HISTORIA YA PESA ZA NOTI TANZANIA

LAYIII
Kwa muda mrefu fedha zilizotumia katika nchi hii zilikuwa ni sarafu. Noti za karatsi zilianza kutumiaka mwaka 1905 wakati wa utawala wa mjerumani kwa upande wa bara. Noti hizo zilitolweka katika thamani ya Rupie 5, 10, 50, 100 na rupie 500 kama ionekanavyo hapa chini. Noti za rupie 500 zilikuwa chache sana na sikufanikiwa kupata picha yake

HATUA 26 ZA KUANZISHA BIASHARA NDOGO NDOGO

LAYIII

Zifuatazo ni hatua 26 za kufuata katika kuanzisha biashara ndogondogo ambazo zitakuwezesha wewe kuanzisha biashara yeyote kwa uraisi zaidi.

Hatua ya kwanza ikiwa imebeba hatua zote kwani biashara inahitaji utayari (kuamua) zaidi ya vitu vingine kama mtaji nk

NDI NDI NDI YA LADY JAYDEE YAZINDULIWA RASMI

LAYIII



 Lady Jaydee ‘Jide’ akizungumza jambo kwa mashabiki wake katika hafla hiyo.

KIFO CHA PRINCE CHAISTUA DUNIA

LAYIII
Legendary wa muziki Marekani na Duniani Prince Rogers Nelson, mwenye umri wa miaka 57 ambaye aliwahi kuuza takriban albamu milioni 100 na aliwahi kubuni chapa yake binafsi ya muziki uliokuwa na sauti na ala za mchanganyiko wa muziki wa Rock na funk.
Asubuhi ya April 21 2016 Prince amepatikana amefariki dunia katika makazi yake ya huko Minneapolis, taarifa zinasema amekutwa amekwama kwenye lifti katika studio Paisley Park, imeripotiwa kuwa staa huyo inawezekana alikuwa anaumwa kwa kipindi cha muda mrefu ambako kulipelekea hata

MAGAZETI YA LEO 22/4/2016

LAYIII
April 22 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, UdakuMichezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @SWAXBZ ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.

advertise here