LAYIII
BONYEZA PICHA HII KUJUA ZAIDI VIDEO IKO HAPO CHINI
BONYEZA PICHA HII KUJUA ZAIDI VIDEO IKO HAPO CHINI
Taarifa
ambazo zinazidi kuenea kwenye vyombo vya habari Congo na mitandao ya
kijamii hata hapa Tanzania ni msiba wa Papa Wemba lakini sasa mjadala
umehamia kwenye namna kifo chake kilivyotokea
Kipande
cha video kinachomuonesha jamaa akichukua mic halafu akairudisha kwenye
stage na baada ya Pamba Wemba Kuanguka inadaiwa jamaa yuleyule badala
ya kumsaidia alikimbilia mic ili isijulikane. Taarifa zinazoenea ni kwamba mic ile ilikuwa imewekewa sumu.
ya kumsaidia alikimbilia mic ili isijulikane. Taarifa zinazoenea ni kwamba mic ile ilikuwa imewekewa sumu.
Hapa Mwanamuziki wa Congo anayeishi Tanzania, Papii Catalogue ameitafsiri video hiyo kwa lugha ya kiswahili, unaweza kuitazama……
No comments:
Post a Comment