Friday 29 April 2016

MBADALA WA SHIKA ADABU YAKO NA NAY WA MITEGO UMEACHILIWA

LAYIIII
Nay wa Mitego:naachia wimbo mpya ambao ni mbadala wa ‘shika adabu yako’ uliofungiwa na (BASATA).
Rapa elibariki Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’ amesema kuwa mwanzoni mwa mwezi ujao ataachia wimbo mpya ambao ni mbadala wa ‘shika adabu yako’ uliofungiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).
Msanii huyo alisema kuwa anatarajia wimbo huo mpya ambao bado hajaupa jina utapendwa na mashabiki wa miziki wa kizazi kpya kutokana na mashairi yake kuyapangilia vyema.
“Mei 9 mwaka huu nitaachia wimbo na video ya wimbo wangu mpya ambao ninaamini kuwa ni mkali kuliko
‘Shika Adabu Yako,” alisema Nay wa Mitego na kuongeza:
JIUNGE NA IQOPTION UWEZE KUJITENGENEZEA PESA UKIWA UMEKAA NDANI JISAJIRI SASA BONYEZA PICHA HII
“Ninajua wimbo wa Shika Adabu Yako bado unafanya vizuri,lakini nimeamua kuandaa mbadala wake baada ya kufungiwa ingawa tayari mashabiki walishaupata.”
Rapa huyo alisema kuwa Juni atafyatua video ya wimbo mwingine ikiwa ni mikakati yake ya kuandaa nyimbo mfululizo ili kukidhi kio ya mashabiki wake.


No comments:

Post a Comment

advertise here