LAYIII
Monday, 5 October 2015
KILA WAKATI MAYWEATHER, JUSTIN BIEBER HUWAKOSI KATIKAHEADLINE ZA MAISHA YAO
LAYIII
Kila wakati bondia Floyd Mayweather humkosi kwenye
headlines zinazohusu maisha yake ndani na nje ya kipaji chake…mara kwa
mara amekuwa akizungumziwa kutokana na utajiri alionao huku akiwa na
matumizi yaliyopitiliza ya pesa zake.
Safari hii ameonekana akila bata katika fukwe za Bora Bora pamoja na rafiki yake mkubwa mwanamuziki Justin Bieber.
Safari hii ameonekana akila bata katika fukwe za Bora Bora pamoja na rafiki yake mkubwa mwanamuziki Justin Bieber.
UJIO MPYA WA VANESSAMDEE
LAYIII
Ni hits baada ya hits mtu wangu… msanii wa muziki wa Bongo Flava Vanessa Mdee anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani jumatatu hii, baada ya kuachia hit single yake ‘Nobody But Me’ aliomshirikisha rapper kutoka South Africa K.O, Vanessa Mdee amewatangazia mashabiki wake kupitia page yake ya Instagram ujio wa single yake mpya ‘Never Ever’ inayopatikana kwenye Album yake Money Mondays!
WAKATI TUKITARAJIA ROBERTO KUFANYA COLLABO BONGO......NEY WA MITEGO YAMEMKUTA MENGINE KWAKE
LAYIII
Tanzania ilipata ugeni wa msanii kutoka Zambia Roberto aliyeimba ngoma ya ‘Amarula’ ambaye alikuja na kupiga show Mwanza..msanii Galaxy kutoka Tanzania amemshawishi Roberto wapige naye collabo moja..Galaxy amesema amepata connection nzuri ya kuweza kukutana na msanii huyo lakini bado hawajafanya collabo, kwa sasa tayari wamepanga mikakati yao na anachosubiri ni yeye awe tayari.
Ney wa Mitego alivamiwa na majambazi nyumbani kwake Mbezi ya Kimara..Anasema siku ya tukio yeye hakuwa nyumbani na majambazi hao walifika nyumbani kwake majira ya saa 4 usiku..walikuja

FAMILIA YA MAREHEMU MCHUNGAJI MTIKILA IMETOA MAJIBU KUHUSU KILICHOTOKEA KWENYE AJALI, KUAGA MWILI NA MAZISHI..
layiii
October 05 2015 ni siku ya pili inaisha
tangu litokee tukio la ajali ya gari ndogo katika Kijiji cha Msolwa,
Chalinze Mkoa wa Pwani ambapo ndani yake kulikuwa na watu watatu pamoja
na Mwanasiasa Mkongwe Tanzania, Mchungaji Christopher Mtikila ambaye alifariki kutokana na ajali hiyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)