LAYIII
Kila wakati bondia Floyd Mayweather humkosi kwenye
headlines zinazohusu maisha yake ndani na nje ya kipaji chake…mara kwa
mara amekuwa akizungumziwa kutokana na utajiri alionao huku akiwa na
matumizi yaliyopitiliza ya pesa zake.
Safari hii ameonekana akila bata katika fukwe za Bora Bora pamoja na rafiki yake mkubwa mwanamuziki Justin Bieber.
Katika ukurasa wake wa @Instagram Mayweather ametupia clip ya video ikiwaonyesha akiwa na Bieber wamesimama huku wanahesabu dola na kuendelea kufurahia maisha yao.

No comments:
Post a Comment