Tuesday, 8 March 2016

JE WAJUA KAMA MVUMBUZI WA EMAIL KAFARIKI DUNIA

LAYIIII
BONYEZA HAPA KUONA VIDEO MTU WANGU

https://www.youtube.com/watch?v=Gpik8ecGV80

 
Mvumbuzi wa “EMAIL” afariki dunia
Mvumbuzi wa matumizi ya barua pepe kwa kiingereza kama Email RAY TOMLINSON, amefariki dunia na umri wa miaka sabini na nne.
Ray alivumbua matumizi ya barua pepe mwaka 1971 na
kuandiak ujumbe wa kwanza wakati akifanya kazi Boston, kama Mhandisi wa kompyuta.
HUKUONA AUDIO YA JMETTY ITAZAME HAPA MTU WANGU

No comments:

Post a Comment

advertise here