Monday, 13 July 2015

MICHUANO YA KAGAME KUTIMUA VUMBI

LAYIII
Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es Salaam Tanzania huku jumla ya vilabu 13 vikishiriki.
Rais wa Rwanda Paul Kagame anatarajiwa kutoa kiasi cha dola elfu 60 za marekani kama zawadi kwa washindi.
Kundi A itajumuisha timu za Yanga yaTanzania, Gor Mahia ya Kenya, Kmkm Zanzibar, Telecom ya Djibout na Khartoum- Sudani Kaskazini.
Kundi B - APR Rwanda, Al Shandy ya Sudan, LLB FC Burundi naHeegan Somalia.
Wakati kundi C - Azam ya Tanzania, Malakia ya Sudan Kusini, Adama ya Ethiopia na KCCA ya Uganda.
Hata hivyo mgawanyo wa zawadi kwa kila mshindi ni kwamba mshindi wa kwanza atajinyakulia dola elfu 30, wa pili dola elfu 20 na wa tatu dola elfu 10.

CHEKI MIONDOKO YA DAVIDO KATIKA NGOMA HIII

LAYIII
Kila siku vituo vya redio na TV Afrika vinapokea mamia ya kazi mpya kutoka kwenye midundo ya Afrika ambapo wiki hii hii ya R2Bees – Gboza ft. Davido ni moja ya video mpya zinazochezwa kwenye TV mbalimbali.

MJUE MAGUFULI MGOMBEA URAIS CCM HAPA

LAYIII

- Alizaliwa Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, wakati huo ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Kagera (sasa mkoa wa Geita).
- Mwaka 2006 – 2009, Shahada ya Uzamivu ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
- Mwaka 1991 – 1994, Shahada ya Uzamili ya Kemia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadaye Chuo Kikuu  cha Salford, Uingereza.
- Mwaka 1985 – 1988, alisoma Shahada ya Kwanza ya Elimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua masomo ya Kemia na Hisabati.

SENTENSI 3 ZA DR SLAA KUHUSU CCM NA UBORA WAKE

LAYIII

Dr Slaa 4Kwenye mkusanyiko wa stori za mitandao ndani ya siku tano zilizopita kutoka kwa walichoandika watu mbalimbali maarufu wa Tanzania, zipo pia hizi tweets za katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa.
Ameandika >>> ‘Siku ambayo Watanzania watatambua kwamba walipaswa kuwa mbali sana kimaendeleo, na kujua kwamba kikwazo ni CCM na kukiondoa haiko mbali, hakuna msafi CCM, wala hii si habari mpya… ubora wa CCM ulizikwa na Azimio la Zanzibar 1994, kwa mara nyingine tena tunapaswa kuamua
Nashukuru UKAWA kwa imani kubwa. Kazi ya mabadiliko iliyoanza 1992 kwa vyama vingi imebakiza miezi michache kushinda. Kura yako ni ukombozi‘ – Dr. Slaa.

UKIKOSEA TU MAITI ......... CHEKI BARABARA HIZI MTU WANGU

LAYIIII
Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.

HII NDO PESA ALIYO LIPWA DIAMOND BAADA YA NYIMBO ZAKE KUCHEZWA KTK TV ZA MAREKANI

LAYIII
Ni utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye TV na Radio ambapo hii imemtokea Mtanzania Diamond Platnumz baada ya wimbo wake kuchezwa kwenye TV maarufu kwa burudani, BET ya Marekani.

DNi utamaduni wa kawaida kwenye nchi zilizoendelea au nchi kubwa duniani Wasanii kulipwa pesa kutokana na nyimbo zao

LOWASSA GUMZO KILA KONA, KAGUFU HAIJAWAI TOKEA

LAYIII
Mwandishi Wetu
NIJohn Pombe Joseph Magufuli ambaye amepita kwa kishindo na ‘usimpimie’ kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan, lakini yaliyojiri katika mchakato wa kumpata mgombea huyo, hayajawahi kutokea, Ijumaa Wikienda limechimba na kuchimbua.
Mwandishi Wetu
NIJohn Pombe Joseph Magufuli ambaye amepita kwa kishindo na ‘usimpimie’ kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan,

kwa nini hip hop bongo haitusui majibu ya izzo b na majibu yake hapaa

layiii
Inawezekana ukawa na maswali kwamba kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu zinazopelekea kwa kukwama.

Izzoooo
.
Inawezekana ukawa na maswali kwamba kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu

Hawa ndio wagombea wa urais wa klabu ya Fc Barcelona

layiii

fc barcelona
.
Mbio za kuelekea uchaguzi mkuu katika klabu ya Fc Barcelona bado zinaendelea na wagombea wanne kati ya saba wametimiza vigezo vya kuendelea hatua inayofuata ya kuwania fursa ya kuwa raisi wa klabu hiyo kwa miaka sita.
Miongoni mwa vigezo wa kuendelea na hatua inayofuata katika mbio hizo za uraisi ni lazima mgombea apate saini za mashabiki wa klabu hiyo kuanzia 2534 na kuendelea.

advertise here