Monday 13 July 2015

UKIKOSEA TU MAITI ......... CHEKI BARABARA HIZI MTU WANGU

LAYIIII
Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.


barabara 1Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.
br 3Kwa Tanzania kuna sehemu kama mlima Kitonga na Sekenke hizo ni baadhi tu ya sehemu tunazozijua ni hatari, huko kwenye nchi za wenzetu kuna barabara China Sichuan-Tibet ambayo inaua watu kila wakati mpaka takwimu zinaonyesha kwamba kati ya watu laki moja, watu elfu saba mia tano hupoteza maisha kwenye barabara hiyo.

br 2Kuna barabara nyingine ukitazama hii video hapa chini ya barabara kumi hatari duniani utaona pembeni kuna Makaburi na misalaba ya baadhi ya waliofariki kwenye ajali.


No comments:

Post a Comment

advertise here