layiii
Inawezekana ukawa na maswali kwamba kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu zinazopelekea kwa kukwama.
Inawezekana ukawa na maswali kwamba kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu zinazopelekea kwa kukwama.
Inawezekana ukawa na maswali kwamba
kwanini muziki wa Hip Hop bado haujatusua kimataifa sasa Emmanuel
Simwinga aka Izzo Bizness amefunguka na kuelezea sababu
zinazopelekea
kwa kukwama.
‘Muziki wa Hip Hop sio kama Haupenyi
kimataifa ila kuna vitu ambavyo vinakwamisha kama uongozi mbaya, mtaji
mdogo kwahiyo kuna vitu vingi lakini sio kwamba muziki wetu haupenyi au
hauwezi kufika ukapendwa hapana labda sasa hivi tukamzungumzia Joh
Makini anafanya rapper anafanya Hip Hop na tunaona anapata rotation
nzuri tu TV kubwa na wimbo wake wa Nusu Nusu hiyo inaonesha kabisa ni
njia kwa wasanii wengine ambao wanafanya muziki kama wa Joh Makini’ – Izzo Bizness
‘Na yeye pia amewekeza kwenye biashara yake ile kwa hiyo point ya
msingi ni connection kuwa na mtaji wa kutosha wa kuendesha biashara
yako wa kupiga ngoma kali mbona tuko huku tunawajua wakina Ice Prince,
Sarkodi ni ma rapper wa Africa wanao rapper kwa hiyo tufika tu cha
msingi ndio kama hayo mambo niliyoyataja’ – Izzo Bizness
No comments:
Post a Comment