Tuesday, 9 February 2016

JINSI DIAMOND ALIVYO KATAA KUSHOUT VIDEO ZAKE BONGO, KIJUE KILE MRISHO MPOTO ANACHOTAMANI KUMWAMBIA RAIS

LAYIII
Kwenye 255 ya Clouds fm leo kulikuwa na stori hizi tatu kubwa,:-
Diamond Platnumz kazungumzia vitu vilivyomvutia Director Godfather alipotua bongo “Ugomvi wangu mimi na Godfather ilikuwa ni yeye kutaka nishoot video zangu Tanzania, sasa mimi nikawa simuelewi, alivyokuja bongo nikapitanaye Kigamboni.. yani kilakitu alikuwa akikiona anashangaa mazingira yalivyo mazuri”

advertise here