Tuesday, 9 February 2016

JINSI DIAMOND ALIVYO KATAA KUSHOUT VIDEO ZAKE BONGO, KIJUE KILE MRISHO MPOTO ANACHOTAMANI KUMWAMBIA RAIS

LAYIII
Kwenye 255 ya Clouds fm leo kulikuwa na stori hizi tatu kubwa,:-
Diamond Platnumz kazungumzia vitu vilivyomvutia Director Godfather alipotua bongo “Ugomvi wangu mimi na Godfather ilikuwa ni yeye kutaka nishoot video zangu Tanzania, sasa mimi nikawa simuelewi, alivyokuja bongo nikapitanaye Kigamboni.. yani kilakitu alikuwa akikiona anashangaa mazingira yalivyo mazuri”

Diamond tuzo_full
Msanii Diamond Platnumz
Producer Bob Manecky  anawazo gani baada ya wasanii kutotoa album ? “Nimegundua wasanii wa bongo wanaachia nyimbo lakini hawana muda wa kutengeneza album, sasa nimeamua kuzikusanya nyimbo zao na kufanya album kasha kuzisambaza mwenyewe”
Manecky-Emmanuel
Bob Manecky

Mrisho Mpoto anatamani kumweleza nini Rais?  “Nitafurahi kuona Rais akaruhusu kila Ijumaa watu wakavaa nguo za tamaduni zao, tena isiwe weekend..! hii itasaidia kukuza asili ya Mtanzania”
mpoo
Mrisho Mpoto
Unaweza kuisikiliza yote kwenye hii sauti hapa chini..


No comments:

Post a Comment

advertise here