LAYIII
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Romy Jons ambaye ni
Ndugu yake na msanii Diamond Platnumz lakini pia ni Official Dj wake alifanya Party yake August 16 2015 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.
Diamond Platnumz ambaye ni ndugu pia ni rafiki wa karibu na Romy kwa pamoja walikutana na marafiki zao na kusheherekea party hiyo….. na kwenye list ya mastaa waliotokea walikuwepo pia Barnaba, Vee Monay, Queen Darleen, Pipi, Aunt Ezekiel, Jux, Kamikaze, Tid, Madee, Shilole, na wengine kibao
\

No comments:
Post a Comment