Monday 31 August 2015

MTOTO WA MCHEZAJI BORA DUNIANI KUTOKEA BRAZIL AMENIUNGA NA CLUB YA URENO

LAYIII

Mtoto wa mchezaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Rivaldinho Rivaldo ambaye anafuata nyayo za baba yake Rivaldo katika soka, amesajiliwa na klabu ya Boavista ya

LIVERPOOL YAMSAJIRI MSHAMBULIAJI KUTOKA NIGERIA

LAYIII
Klabu ya Liverpool ya Uingereza haiko nyuma na yenyewe kumalizia masaa ya usajili yaliosalia vizuri, kila klabu ina angaika ili iweze kusajili mchezaji iliyekuwa inamtaka kwa muda mrefu au

SHUDIA MWANAMKE MREMBO ANAVYOIBA NA KILICHOENDELEA WALITEGESHA KAMELA

LAYIII
Jamaa wametegesha video camera sehemu alafu wakatafuta Mwanamke mrembo ajifanye mwizi wa kuchomolea watu mfukoni, hii imetokea Marekani lakini najua kama wangetegesha

HAWA NDIO WATOTO WA MASTAA WENYE USHAWISHI MKUBWA SANA MTU WANGU

LAYIII
Kuna watoto wengi wa mastaa ambao wamekua na ushawishi mkubwa ndani ya jamii zinazowazunguka, mbali ya kupata mikata minono ya kutangaza bidhaa mbalimbali pia wamekuwa wakizungumziwa hasa katika mitandao ya kijamii.

CHEZA KWA MADOIDO YA YAMOTO BAND IPO HEWANI SASA

LAYIII
Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya ‘Cheza kwa Madoido’ chini ya Mtayarishaji GodFather.

DK SLAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NI NINI KINAENDELEA KUWA NAMI HAPO CHINI

LAYIII
Ni kweli katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa amekua kimya toka Edward Lowassa ajiunge na CHADEMA akitokea CCM lakini August 31 2015 kituo cha TV cha STAR TV kimetangaza kuhusu Dr. Slaa kwamba atazungumza kwa mara ya

SHERIA YA MITANDAO YAANZA KAZI RASMI

LAYIII
Huu ndio utakua mwisho wa makosa ya kimtandao Tanzania??? sababu sheria hii imepitishwa na kuanza kutumika leo mahususi kwa wote wanaotumia vibaya mtandao.

HUYU NDO MWANAMKE ANAYE TAKA KUWA RAIS WA TANZANIA

LAYIII
Kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 zimeshaanza tayari na tumewaona Wanasiasa mbalimbali wakisimama mbele ya Watanzania kutumia time yao kuwashawishi wapate zile

DAKTARI WA DIAMOND ATAFIA STUDIO

LAYIII
Musa Mateja na Gabriel Ng’osha
YAMEKUWA hayo! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anahofiwa kufia studio kutokana na kufanya kazi kwa muda mrefu pasipo kupumzika

KAMA HUKUJUA HAWA NI WATAYARISHAJI, NI WAIMBAJI

LAYIII

Mwimbaji na Mtayar-ishaji wa Studio ya Sharobaro, Bob Junior.
PAMOJA na kufanya kazi ya kutayarisha ngoma kali za wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva lakini

UGOMVI WA YOUNG KILLER NA EDO BOY WAZUA MENGINE

LAYIII
Wiki iliyopita Soudy Brown alizungumzia ugomvi wa Edo Boy na Young Killer hadi kupelekana Polisi, leo tena unaendelea.
Baada ya Edo Boy wiki iliyopita kugoma kuzungumza, leo amezungumza na kusema ni kweli alikua

KUTANA NA WASHINDI WA TUZO ZA MTV VMA’s 2015

LAYIII
Jumapili ya tarehe 30 August 2015 ilikuwa siku kubwa na ya muhimu kwenye ulimwengu wa burudani kwani tuzo za MTV Video Music Awards 2015 zilichukua headlines kubwa sana jijini Los Angeles Marekani.

KANYE WEST RAIS WA MAEKANI MWAKA 2020 KUFUATIA KUTANGAZA KWAKE NIA

LAYIII
Kanye West na Kim Kadarshian walikua miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo za MTV Video Music Awards 2015… na siku zote watu wamezoea kupokea vituko kutoka kwa Kanye viwe vya kufurahisha ama kusikitisha usiku hauwezi kuisha bila kumsikia Kanye West.

advertise here