LAYIII
Kuna watoto wengi wa mastaa ambao wamekua na ushawishi mkubwa ndani
ya jamii zinazowazunguka, mbali ya kupata mikata minono ya kutangaza
bidhaa mbalimbali pia wamekuwa wakizungumziwa hasa katika mitandao ya
kijamii.
Hawa ni baadhi ya watoto wa mastaa mbalimbali;-
Mtoto wa Kim Kardashian na Kanye West-North
Mtoto wa Beyonce na Jay Z-Blue Ivy
Mtoto wa Alicia Keys na Swizz Beats-Egypt
Mtoto wa 50 Cent- Sire
Mtoto wa Chriss Brown-Royalt
Mtoto wa Rooney-Kai
Mtoto wa Cristiano Ronaldo-Ronaldo Jr
Mtoto wa Messi-Thiago
Mtoto wa Shakira na Gerard Pique-Milan
Watoto wa David Bekham-: Brooklyn, Romeo na Cruz Beckham
Mtoto wa Amber Rose na Wiz Khalifa-Sebastian
No comments:
Post a Comment