Monday 31 August 2015

DK SLAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NI NINI KINAENDELEA KUWA NAMI HAPO CHINI

LAYIII
Ni kweli katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa amekua kimya toka Edward Lowassa ajiunge na CHADEMA akitokea CCM lakini August 31 2015 kituo cha TV cha STAR TV kimetangaza kuhusu Dr. Slaa kwamba atazungumza kwa mara ya
kwanza leo September 1 2015.
Maneno ya mtangazaji msoma habari wa StarTV yanasema >>> ‘Dr Slaa amekua pembeni katika harakati za kisiasa lakini September 1 2015 atavunja ukimya huo kwa kuzungumza na vyombo vya habari Dar es salaam kuanzia saa saba mchana, mkutano huo utarushwa moja kwa moja mkutano huu
TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.


No comments:

Post a Comment

advertise here