SHUDIA MWANAMKE MREMBO ANAVYOIBA NA KILICHOENDELEA WALITEGESHA KAMELA
LAYIII
Jamaa wametegesha video camera
sehemu alafu wakatafuta Mwanamke mrembo ajifanye mwizi wa kuchomolea
watu mfukoni, hii imetokea Marekani lakini najua kama wangetegesha hii
camera kwenye nchi kama Tanzania mpaka watu wajue ni mchezo unachezwa
tayari mtu ameshapokea kipigo.
No comments:
Post a Comment