Monday 31 August 2015

CHEZA KWA MADOIDO YA YAMOTO BAND IPO HEWANI SASA

LAYIII
Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya ‘Cheza kwa Madoido’ chini ya Mtayarishaji GodFather.

Diamond Platnumz ndiye aliyefanikisha video hiyo kwa kiasi kikubwa kuweza kufanyika Afrika Kusini baada ya kuwakutanisha na GodFather na kugharamia.
Nakukaribisha uitazame hapa mtu wangu…


No comments:

Post a Comment

advertise here