LAYIII
Wiki iliyopita Soudy Brown alizungumzia ugomvi wa Edo Boy na Young Killer hadi kupelekana Polisi, leo tena unaendelea.
Baada ya Edo Boy wiki iliyopita kugoma kuzungumza, leo amezungumza na kusema ni kweli alikua
anamdai 250,000 na walikua wakidaiana kama ndugu na si wasanii. pia waliishi kama ndugu.
Anasema alimpa hela mbele ya mke wake lakini kuna maneno alikua akiyasikia ambayo si mazuri na ikafika kipindi akawa hapoei simu na kuamua kumfuata nyumbani kwake ili ampe hela yake..wakaanza kugombana na kuanza kuzungumza maneno ya dharau ndipo akaamua kwenda Polisi.
Anaongeza kuwa alienda mbali zaidi na kuahidi Polisi atakua akimlipa 1000 kila mwezi kitu alichokitafsiri ni dharau kubwa sana.
Wasikilize hapa kwenye Uheard…

No comments:
Post a Comment