Sunday, 12 June 2016

IJUWE TAARIFA YA ACT-WAZALENDO KUHUSU KUPOTEA KWA ZITTO KABWE

SUBSCRIBE HAPA
B`ONYEZA PICHA HII KUIONA HOTUBA YA ZITO KABWE MBAGALA KAMA ULIIKOSA
https://www.youtube.com/watch?v=FeU335Qjghs
TAARIFA KWA UMMA

Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku.


Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu.

BILL GATE KUWASAIDIA WAAFRIKA WAFUGA KUKU

SUBSCRIBE HAPA
Bonyeza picha hii kujua kama simu yako itafungwa
https://www.youtube.com/watch?v=Kd0A5iAeHDg
Mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft Bill Gates, amezindua kampeni ya kusaidia watu maskini zaidi barani Afrika, kusini mwa jangwa la sahara, kwa kufuga kuku
Bilionea huyo Bill Gates anasema kuwa kufuga kuku kunaweza kuwa kifaa muhimu katika kukabiliana na ufukara hohe hahe.
Ameahidi kutoa kuku 100,000, na ukurasa katika mtandao wa mradi huo tayari umewavutia na kusambazwa kwa maelfu ya watu.

WATOTO SITA 6 WAMEFARIKI WAKIWA WANABATIZWA HUKO ZIMBABWE

SUBSCRIBE HAPA
https://www.youtube.com/watch?v=MWnmZ0mJSjUWatoto sita wamekufa maji bila kutarajiwa katika sherehe za kubatizwa kwao katika mto nchini Zimbabwe.Watoto watatu walinusurika kufa maji ya mto huo ambao maji yake niya baridi;watoto hao walionekana wakitetemeka kutokana na baridi wakati miili ya wenzao waliokufa maji ikiopolewa majini.

advertise here