SUBSCRIBE HAPA
Watoto sita wamekufa maji bila kutarajiwa katika sherehe za kubatizwa
kwao katika mto nchini Zimbabwe.Watoto watatu walinusurika kufa maji ya
mto huo ambao maji yake niya baridi;watoto hao walionekana wakitetemeka
kutokana na baridi wakati miili ya wenzao waliokufa maji ikiopolewa
majini.

Polisi nchini Zimbabwe wamewatia mbaroni watu wawili ambao ni wafuasi wa dhehebu hilo la Kikristo.
Lakini pia walimjumuisha mama mmoja ambaye alidai kwamba yeye ni nabii ambaye alisema kwamba alifanya jaribio la kufufua wafu wakati wa ibada zake .
SHUDIA VIDEO ZA VITUKO HAPA MJINI ONA HII YA MAOMBEZI

No comments:
Post a Comment