Sunday 12 June 2016

IJUWE TAARIFA YA ACT-WAZALENDO KUHUSU KUPOTEA KWA ZITTO KABWE

SUBSCRIBE HAPA
B`ONYEZA PICHA HII KUIONA HOTUBA YA ZITO KABWE MBAGALA KAMA ULIIKOSA
https://www.youtube.com/watch?v=FeU335Qjghs
TAARIFA KWA UMMA

Tunaujulisha UMMA kwamba Kiongozi wa Chama chetu cha ACT Wazalendo ndg. Zitto Kabwe amekuwa anatafutwa na Polisi tangu jana usiku.


Mpaka sasa hatujui Kiongozi wetu yupo wapi na yupo kwenye Hali gani. Askari kanzu wanalinda nyumbani kwake na kwa watu wake wa karibu.




Sisi kama chama tunaliambia jeshi la Polisi kuwa lolote litakalotokea kwa Kiongozi wetu wao watajibu kwa umma.



Msafiri Mtemelwa, 
Kaimu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo

TIZAMAA BAADHI YA CRIP ZA HOTUBA YA ZITTO KABWE HUKO MBAGALA

No comments:

Post a Comment

advertise here