LAYIII
Dar es Salaam: Who is next (nani anafuatia?) Ndivyo Wabongo wengi wanavyojiuliza kufuatia tumbutumbua majipu katika sekta za serikali inayofanywa na Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ ili kupisha mfumo mpya wenye Kauli Mbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’.
Kwa mujibu wa baadhi ya wananchi waliozungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, wana imani na Serikali ya Awamu ya Tano ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuwa hatanii katika suala la tumbuatumbua ya majipu inayoendelea ambapo familia za wakurugenzi waliotumbuliwa sasa ni vilio tupu.
Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’.
Stori: Gabriel Ng’osha, WikiendaDar es Salaam: Who is next (nani anafuatia?) Ndivyo Wabongo wengi wanavyojiuliza kufuatia tumbutumbua majipu katika sekta za serikali inayofanywa na Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ ili kupisha mfumo mpya wenye Kauli Mbiu ya ‘Hapa Kazi Tu’.