Sunday, 8 January 2017

AY AMTAJA R KELLY WA BONGO

Rapa mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa la Sahara na Afrika Mashariki na kati.

Mbali na hilo AY amemfananisha Ben Pol na mkali wa Rnb kutoka Marekani R Kelly na kusema Ben Pol ndiye R Kelly wetu hivyo tunapaswa kumpa support tu katika kazi zake ili azidi kufanya mambo makubwa

advertise here