Rapa
mkongwe bongo AY amefunguka na kumtaja msanii wa Rnb kutoka Tanzania
Ben Pol kuwa ndiye mfalme wa Rnb kwa Afrika Mashariki, Kusini mwa jangwa
la Sahara na Afrika Mashariki na kati.
Mbali na hilo AY amemfananisha Ben Pol na mkali wa Rnb kutoka Marekani R Kelly na kusema Ben Pol ndiye R Kelly wetu hivyo tunapaswa kumpa support tu katika kazi zake ili azidi kufanya mambo makubwa zaidi na kuiwakilisha nchi vyema kupitia muziki wake.
"Imagine unapata ZIGO lenye Moyo mashine .About last night na mdogo wangu King wa RnB East Africa,Kusini mwa Jangwa la Sahara na Mashariki ya Kati..Ndio R Kelly wetu sasa tufanyaje?? Tuzidi kumsupport BEN POL" alisema Ben Pol
Kwa sasa Ben Pol anafanya vyema na wimbo wake 'Phone' ambao amemshirikisha Mr Eazi

No comments:
Post a Comment