Monday, 18 April 2016

SHULE KUMI ZIMEFUNGWA KYELA KUTOKANA NA MVUA KUBWA KUNYESHA

LAYIII
je unahitaji computer yenye matumizi yako ya kiofisi basi bonyeza picha hii na utaweza kupata huduma haraka sana
http://www.amazon.com/gp/product/B0172BP1W6/ref=as_li_tl?ie=UTF8&camp=1789&creative=9325&creativeASIN=B0172BP1W6&linkCode=as2&tag=googleplaysto-20&linkId=LRXRIWQS2SMIHS3H
Kyela/Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mbeya, Dk Thea Ntara amesema bado hali ni tete kwa wananchi wa  Kata 10 zilizokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha na ameamuru shule tatu za sekondari  na saba za msingi zifungwe kwa  muda usiojulikana baada ya vyumba vya madarasa kujaa maji na miundombinu yake kutishia usalama.

YOUNG KILLER KAZUNGUMZI PICHA ALIYOPIGA NA DIAMOND NA FUNUNU ZA KUJIUNGA NA LEBAL YA WCB

LAYIII

Picha aliyoiweka rapa Young Killer kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa na Diamond, imezua maswali kadhaa ya matumaini miongoni mwa mashabiki wake.

Rapa huyo wa Mwanza amepost picha akiwa na Diamond Plutnumz na kuandika:

Hakuna mtu aliye zaliwa ili aje awe maskini (ndiyo ) unaweza ukawa umezaliwa kwenye familia maskini ila ukweli ni kwamba hujazaliwa ili wew uje kua maskini….hivyo bas ::mafanikio uja kwa wale walio shindwa mara nyingi na wakajaribu tena kwa ujasiri.. (yes) mungu nisaidie yatimie .. with

TP MAZEMBE IPO HOI DHIDI YA WYDAD CASABLANCA

LAYIII

Mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa Afrika katika kandanda klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na kibarua kigumu dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco katika jitihada zake za kuhifadhi taji lao.
Mabingwa hao wa Afrika wanahitaji kushinda Wydad kwa zaidi ya mabao mawili na wasifungwe lolote ilikunusuru hadhi yao baada ya o kuchapwa 2-0 katika mkondo wa kwanza Juma lililopita .
Mazembe inawakaribisha mabingwa hao wa Morocco katika mkondo wa pili jumatano hii.

MABAO 500 ALIYOFUNGA MESSI

LAYIII
Messi
Mshambuliaji matata kutoka Argentina Lionel Messi hatimaye alifunga bao lake la 500 katika maisha yake ya uchezaji Jumapili.
Alifunga bao hilo dakika ya 63.
Bao lake hata hivyo halikutosha kuzuia Barcelona wasipokezwe kichapo chao cha tatu mtawalia katika La Liga, mara ya kwanza tangu 2003.
Barca walichapwa 2-1 na Valencia.
Ni karibu miaka 11 tangu Messi afunge bao lake la kwanza la ushindani akiwa na umri wa miaka 17

advertise here