Friday, 26 June 2015

BABU SEYA USO KWA USO NA JK

LAYIII

Nguza Vicking Babu Seya,(kulia) na Mtoto wake Papii Nguza,wakiwa wamekaa katika viti vya Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam walipofikishwa kusikiliza rufaa yao jana.(Picha na Yusuf BADI)).Nguza Vicking Babu Seya, (kulia) na Mtoto wake Papii Nguza.
Haruni Sanchawa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’, leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza ya Ukonga jijini Dar, ana ratiba ya kuzungumza na maafande na maafisa wa jeshi la magereza na wafungwa katika Siku ya Magereza Tanzania 2015 ambayo huadhimishwa kila mwaka.

MAJAMBAZI YAUA ASKARI NA KUPORA FEDHA BENKI YA NMB, MKURANGA

WATU wanaodhaniwa kuwa majambazi wamevamia Benki ya NMB tawi la Mkuranga mkoani Pwani na kupora fedha kisha kumuua askari mmoja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jafary Mohamed ameuthibitishia mtandao huu kutokea kwa tukio hilo na kwamba kwa sasa yupo njiani kuelekea eneo la tukio.
"Taarifa hizo nimezipata kuwa watu hao wanaodhaniwa kuwa majambazi kuvamia Benki ya NMB, Mkuranga na kupora fedha ambazo kiasi chake bado hakijafahamika kisha kumuua askari mmoja aliyekuwa nje ya uzio wa eneo hilo la benki ambaye hakuwa kazini ila walinzi wote wa benki wapo salama na silaha zao hazijachukiliwa. Kwa sasa nipo njiani kuelekea eneo la tukio kupata taarifa zaidi." Alisema Kamanda huyo.

MJUE DOGO ALIYECHUKUA FORM YA URAIS KUPITIA CCM

HAHAHAHAHAHA NA LAYIIIIIIII ON SPOT DOGO KANIUWAAAA

BZMORNING AFRIKA MCHEKI OBAMA ALIVOMZOMEA MWANAHARAKATI NDANI YA WHITE HOUSE SORCE NA BBC SWAHILI

LAYIII

Obama amzomea mwanaharakati White House

26 Juni 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:18 GMT
Rais Barack Obama alilazimika kumzima mwanaharakati aliyekatiza hotuba yake katika dhifa aliloandaa katika ikulu ya White House.
Wageni walimshabikia Obama alipomsuta bwana huyo wakimpigia makofi kwa kuchukua msimamo.
Hatimaye rais Obama alimuonya kuwa angeamrisha aondolewe iwapo hatatulia akisema ''hapa ni kwangu, ukienda kwa mtu sharti ufuate sheria za mwenyeji wako''

NILICHOKUWEKEA KATIKA bzmorning ya swaxbz.com MAGAZETI YA LEO 27/6/2015 HIKI HAPA

LAYIII

DSC09907
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho

NDANI YA BZMORNING MTU WANGU UKIAMKA USIKOSE KUWEKA MWILI SAWA KWA KUFANYA HAYA

LAYIII

Kutana na picha hii inayokukumbusha tz la asubuhi mtu wangu wa ukweli
ungana nami kupata habari moto na za ukweli kabisa

LEO KATIKA BZMORNING YA SWAXBZ.COM KUTANA NA KAHABARI HAKA ILA KANAUMIZA KINYAMA

LAYIII
FROM UDE KUMBWEMBE PAGE
......Miaka 12 leo tangu Marc-vivien Foe afariki....usiku ule alioanguka dimba la Girland Ufaransa na kufariki, nilisema nikipata mtoto wa kiume nitamuita Marc-vivien kwa heshima ya Foe....Agosti 27 mwaka jana nilipata mtoto wa kiume, ndio huyu anayeitwa Marc-vivien kumwembe.......Rest in peace Legend....

KWA ATAKAYE IPATA PASPOT YA SHETA DAU NONO HAPA

LAYIIII
Shetta amepoteza passport yake ya kusafirisha na kuamua kuweka tangazo kkwenye vyomba mbalimbali vya habari kwa mtu yoyote atakayefaniki kupatikana kwa passport hiyo.

Ahadi ya Shetta kwa atakayeipata passport yake iliyopotea…#Uheard (Audio) 

shee
Shetta amepoteza passport yake ya kusafirisha na kuamua kuweka tangazo kkwenye vyomba mbalimbali vya habari kwa mtu yoyote atakayefaniki kupatikana kwa passport hiyo.

AL SHABAAB IMESHAMBULIA KITUO CHA AMISOMI

LAYIII
Walioshuhudia wanasema kuwa mlipuaji wa kujitolea mhanga aliendesha gari lake moja kwa moja hadi kwenye lango kuu la kituo hicho .
Kituo hicho kiko katika eneo la Leego, barabara kuu inayounganisha mji mku wa Mogadishu na Baidoa.

 Takriban watu 30 wamepoteza maisha yao baada ya shambulizi la kigaidi katika kituo cha kijeshi cha wanajeshi wa kimatifa wa kulinda amani nchini Somalia Amisom.
Walioshuhudia wanasema kuwa mlipuaji wa kujitolea mhanga aliendesha gari lake moja kwa moja hadi kwenye lango kuu la kituo hicho .

BAADA YA KUFANYA VIZURI KATIKA COLLABLE NA DIAMOND SASA KAPAA KTK HEADLINE TENA ZA POWER TO WIN

LAYIII
Baada ya kufanya vizuri kwenye collabo ya wimbo mpya wa Diamond wa Nana, staa wa Nigeria Mr Flavour amerudi kwenye headlines na sasa ametoa Video yake mpya ya wimbo wa ‘Power To Win’

Mr.Flavour karudi kwenye headlines na hii ‘Power To Wini’ (Video)

fleva
Baada ya kufanya vizuri kwenye collabo ya wimbo mpya wa Diamond wa Nana, staa wa Nigeria Mr Flavour amerudi kwenye headlines na sasa ametoa Video yake mpya ya wimbo wa ‘Power To Win’
Nakukaribisha kuitazama hapa mtu wangu…

KATIKA HEADLINE YA MAGAZETI YA LEO TAR 26/06/2015

LAYIII
 Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Yalichoandika magazeti ya Tanzania leo JUNE 26, 2015 Udaku, Hardnews na Michezo

DSC09906
.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapaWWW.SWAXBZ.COM kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

BUNGE KUANZA KUJADILI WATOTO WA WABUNGE lipe bunge lako comment moja tu ya nguvu mtu wangu wa ukweli

LAYIII
Kwenye kilichosikika jana June 25 2015 toka ndani ya Kikao cha Bunge Dodoma ilikuwepo pia ishu ya Mbunge Martha Mlata kuanzisha mjadala kuhusu amri ya Mahakama kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Sugu akabidhiwe mtoto wake ambae amezaa na Faiza Ally kutokana na Mbunge huyo kuonekana kutoridhwishwa na malezi ya mtoto akiwa kwenye mikono ya mama yake.

Dakika kumi za Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ leo kuhusu ishu ya mtoto wake kujadiliwa Bungeni… #June262015

Sugu Bungeni
Kwenye kilichosikika jana June 25 2015 toka ndani ya Kikao cha Bunge Dodoma ilikuwepo pia ishu ya Mbunge Martha Mlata kuanzisha mjadala kuhusu amri ya Mahakama kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Sugu akabidhiwe mtoto wake ambae amezaa na Faiza Ally kutokana na Mbunge huyo kuonekana kutoridhwishwa na malezi ya mtoto akiwa kwenye mikono ya mama yake.

#MAGAZETINI JUNE 26…Fisi amnyang’anya mama mtoto na kumla, Muhongo aumbuka na Nchimbi abaki njia Panda

layiii
ROUNDMWANANCHI
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wamemzuia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kuhudhuria shughuli ya kuvunja Baraza hilo itakayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein leo.

KASHIKA MAKALIO YA MWENZAKE KILICHO FUATA ..........fumba macho....!!!!!!!! hapo copa america

LAYIII cheki video hapo chini
Ligi ya Copa America ni moja ya Ligi za soka ambazo ni maarufu sana duniani, lakini headlines mfululizo ndani ya wiki moja sasahivi sio stori nzuri sasa.. tulisikia kuhusu Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini kumpa adhabu ya kusimamishwa mechi nne staa wa soka toka Brazil ambae pia ni winga wa pembeni katika Kikosi cha Barcelona, Neymar  da Silva Santos Júnior.

Mchezaji kamshika mwenzie makalio Ligi ya Copa America, kilichofuatia kikazua utata mwingine !!

redcard
Ligi ya Copa America ni moja ya Ligi za soka ambazo ni maarufu sana duniani, lakini headlines mfululizo ndani ya wiki moja sasahivi sio stori nzuri sasa.. tulisikia kuhusu Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini kumpa adhabu ya kusimamishwa mechi nne staa wa soka toka Brazil ambae pia ni winga wa pembeni katika Kikosi cha Barcelona, Neymar  da Silva Santos Júnior.
Leo nimempata huyu mwingine Gonzalo Jara ambaye na yeye kaingia kwenye headlines baada ya kumshika mchezaji mwenzake Cavani skwenye makalio.. inaonekana ni kama haikuwa bahati mbaya kwa vile kabla hajamshika kulitokea kujibizana kati yao.. Video ya tukio hilo imeendelea kusambaa mitandaoni kutokana na hukumu kuonekana kumwangukia asiye na hatia.
Edinson-Cavani-009
Edinson Cavani alikasirishwa na kitendo cha Gonzalo, akampiga kibao cha uso.. refa akatoa kadi ya njano kwa Cavani, lakini kwa vile tayari jamaa alikuwa na kadi ya njano ikabidi apigwe nyekundu na kutolewa nje ya uwanja.

advertise here