Friday, 26 June 2015

BZMORNING AFRIKA MCHEKI OBAMA ALIVOMZOMEA MWANAHARAKATI NDANI YA WHITE HOUSE SORCE NA BBC SWAHILI

LAYIII

Obama amzomea mwanaharakati White House

26 Juni 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:18 GMT
Rais Barack Obama alilazimika kumzima mwanaharakati aliyekatiza hotuba yake katika dhifa aliloandaa katika ikulu ya White House.
Wageni walimshabikia Obama alipomsuta bwana huyo wakimpigia makofi kwa kuchukua msimamo.
Hatimaye rais Obama alimuonya kuwa angeamrisha aondolewe iwapo hatatulia akisema ''hapa ni kwangu, ukienda kwa mtu sharti ufuate sheria za mwenyeji wako''

No comments:

Post a Comment

advertise here